HAWAJUI LYRICS BY VENESSA MDEE
Hamjui tu nyie,
alichonifunza Mama na na ndiyo maana hamuishi kutukana x2
Verse 1
Kila kitu majaliwa kupata nimebarikiwaga
Nini tulilia usiku mchana unabwabwaja Kwako
mi mpira unanicheza unavyotaka,
Kila siku beki leo kipa nimekudaka
Bridge
We mwanadamu gani uliyekosa aibu Huenda kuna,
kosa nieleze kilichokusibu Huishi Zogoa Zogoa,
Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa
Chorus
Hamjui tu nyie, alichonifunza Mama,
na na ndiyo maana hamuishi kutukana x2
Verse 2
Choko choko ndiyo mambo mliozoea,
Kuweka vigenge na makundi mkiniongelea ah ah Eti naringa,
nikishinda mnavimba, hamuishi kuniwinda Mungu ndiyo ananilinda
Bridge
We mwanadamu gani uliyekosa aibu kunisema kwa ubaya,
na ukiapa kwa Mungu
Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa
Chorus
Hamjui tu nyie,
alichonifunza Mama na na ndiyo maana hamuishi kutukana x2
We mwanadamu gani uliyekosa aibu
Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu,
Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa
No comments:
Post a Comment