willy Poizee
Teddy B
Siku kuu kukupata we mdolly
kwa ajili yangu Mungu amekushusha
kitunguu we ndo ladha ya mtoli
kama nyama nyama kwenye sambusa
kichuguuni mi mzigo na toroli
hadi nguo inataka pasuka
msupuu mwenye macho ya gololi
rangi kama unaoga mafuta
ooh my(ooh my), I don’t lie
girl know you changed my life
in your eyes, I don’t lie
girl you know you changed my life
we ndo raha,dunia mbaya
sikia my dear, usije nikimbia
tulia, nile niwe na wewe
mmmh mmmh mmmh (sisemi)
mmmh mmmh mmmh (nabaki naguna guna)
mmmh mmmh mmmh (mama sihemi)
mmmh mmmh mmmh (nabaki najimumunya)